Fashion nguo za kushona

Для ботов

Mavazi ya ofisini kwa wanawake kisasa zaidi

Like Like. Like Liked by 1 person. Nimependa hand bay zenu. Hasa desing huu wa mtu wa mwisho rangi ya orange. Je tunaweza kuipata huku wa mkoani kama mtu anahitaji. Nimeipenda mishono ni mizuri ila mingi ni sketi sijaona magauni embu muweke magauni ya kimama yenye heshima. You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account. You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email. Like this: Like Loading Tanzania Like Like. Mko byeeee kwa kweli bomba Like Like. Nimeipenda sana mishono yenu Like Like. Mishono mazuri sana. Ahsante,tunaomba mboreshe zaidi Like Like. Nzuri Like Like. Nimeipe mishono yenu mpo vizur hongeren! Nimepend fashion zenu mpo vizur sana. Je tunaweza kuipata huku wa mkoani kama mtu anahitaji Like Like. Mishono Hebu ni mizuri sana!! Ila muweke na mishono ya magauni ya wa mama wanene!!! Nimeipenda mishono ni mizuri ila mingi ni sketi sijaona magauni embu muweke magauni ya kimama yenye heshima Like Like. Nitafute Like Like. Karibu sana Happy Like Like.

Mishono Ya Vitambaa 2017 Vya Satini


Pochi ni sehemu muhimu sana katika maisha ya mwanamke. Pochi zipo za aina, rangi, ukubwa na matumizi mbali mbali. Ni nadra sana kukutana na binti au mama anayetembea bila pochi, na kwa wengine maisha yao yote wanatembea nayo kwenye pochi. Kuna vitu muhimu ambavyo ni lazima kila mwanamke akumbuke kutembea navyo kwenye pochi, na kuna vingine ni vyema kuwa navyo lakini sio lazima. Pini 2. Sindano na uzi 3. Vifungo 4. Dawa yoyote ambayo unaitumia na kuihitaji 5. Kitambulisho 6. Pedi 7. Kalamu na notebook. Perfume 2. Poda 4. Kitana 5. Kadi ya benki 7. Sandals kama unavaa viatu virefu. Mara nyingi wanawake tumekuwa tukijichukia na kujiona si wazuri wala hatupendezi kwa kuangalia muonekano wa nje. Unajiangalia na kujilinganisha na wengine na kuishia kuona mabaya usiyoyapenda na kuacha kuona jinsi Mungu alivyokuumba vyema na kukubariki. Tambua hakuna mwanadamu aliye mkamilifu bali Yesu Kristo Bwana wetu ndiye atukamilishaye. Hivyo ulivyo ni wa thamani sana mbele zake na anakuhitaji uache kuangalia madhaifu yako bali umwangalie yeye ili aweze kukutumia. Jenga tabia ya kuhesabu baraka zako kila siku na utaona jinsi maisha yako yatakavyo badilika. Jione vile Mungu anavyokuona na acha kutumia vipimo vya wanadamu kutambua thamani yako. Hivyo ulivyo Mungu anataka kukutumia, kwa elimu uliyonayo, kazi uliyonayo, nafasi yako hiyo hiyo uliyonayo, Mungu anakuhitaji. Unaweza kudhani kuwa ungekuwa na elimu zaidi, nafasi kubwa zaidi kwenye jamii, umeolewa, unakarama kama ya fulani basi ungemtumikia Mungu.

Mitindo Mipya Ya Nguo Za Vitenge


Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. Kuwa mstaarabu Haya ni maneno ya Fundi wa Kushona Nguo Asiyeona, Abdallah Nyangalilo alipoambiwa afanyiwe oparesheni ya macho katika Hospitali ya Taifa Muhimbili mwakaakaambiwa kuwa hataona isipokuwa maumivu ya kichwa yatakuwa yamepungua. Akizungumza na Michuzi Blog katika darasa la wanafunzi wasiyeona, Nyangalilo amesema kuwa wakati alipokuwa amefanyiwa oparesheni Daktari wa Macho Raia wa Urusi alimuambia kuwa amfundishe kushona ambayo ndio itakuwa kazi yake, alikataa na baadae kukubali na kuanza kufundishwa. Amesema Daktari huyo alikuwa ana cherehani yake akiwa nje ya kazi hutumia cherehani kushona nguo na ndio cherehani aliofundishwa Nyangalilo. Nyangalilo amesema alianza kazi ya kushona kwa kutumia ujuzi wa Daktari wake na fundi kufundisha wasiyeona na kuongeza kuwa maisha yalikuwa magumu na baadhi ya watu walikuwa hawamini kazi ya kushona ya mtu asiyeona. Amesema katika kufanya kazi hiyo ameweza kuendesha maisha yake,licha ya kukabiliwa na changamoto mbalimbali kutokana na hali aliyokuwa nayo ya kuona. Nyangalilo amesema katika kufanya hivyo anaweza kushona nguo kwa kuchukua kipimo cha kushika kiganja cha mkono na kujua saizi zote na kusababisha kuitwa, Dk. Abdallah Nyangalilo. Abdallah amesema kwa sasa anafundisha wasio ona wa Manispaa ya Temeke ikiwa ni wasio ona wote wa Jiji la Dar es Salaam na matarajio yake ni kuona anamiliki huo cha kushona cha wasio Ona. Fundi wa Kushona Nguo Asiyeona, Dk. Abdallah Nyangalilo akizungumza na mwandishi wa michuzi Blog hayupo pichani leo jijini Dar es Salaam. Abdallah Nyangalillo. Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii. Fundi wa Kushona Nguo asiyeona, Dk. Sehemu ya wasiyeona wakiwa katika mafunzo ya ushonaji nguo. Mshirikishe mwenzako:. Michuzi Blog Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Subscribe to: Post Comments Atom.

Mitindo 40 ya Vitenge Itakayo endelea kushika chati Mwaka 2017


Ronelyna Ronel likes. Wednesday, March 30, Mitindo mbalimbali ya nguo za kiafrica Bibi harusi. Posted by Ronellyna at AM. Anonymous April 4, at AM. Anonymous February 10, at PM. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Welcome to my blog dear Friends About Me Ronellyna Sweden, Stockholm, Sweden Mimi ni Mtanzania,makazi yangu kwa sasa yako Sweden,Stockholm, Elimu yangu ya msingi nimepata katika shule ya msingi Bunge kisha kusoma sekondari hapa nchini na kisha nikaenda kumalizia elimu yangu nchini Kenya katika shule ya Maasai Girls iliyopo Ngong Rd. Najishughulisha na mambo mengi kama ushauri mbalimbali,kufundisha jinsi ya kupanga nyumba na kupamba. View my complete profile. Theme Lib. My Blog List. Sundayshomari's Blog. Kwa muj Total Knockout!! Promo Indomaret - Promo Indomaret - Ribuan obat kedaluwarsa dari tahun hingga yang diduga bernilai miliaran rupiah ditemukan di sejumlah puskesmas di Kabupaten Nia Libya's ex-leader Col Muammar Gaddafi has been killed after an assault on his home town of Sirte. The claims have Mitindo mbalimbali ya nguo za kiafrica Like Button. Create your Like Badge. Follow this blog. Weather Forecast Service offert par bloguez.

~~ Style Nguo Za Mishono Watoto ~~

E-mail: abnerytupokigwe gmail. Mob : Instagram : sinyatiblog Facebook : Sinyati Blog. Post a Comment. Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya Enter your keyword Search X. Sinyati Blog. Tags: Mitindo. Labels: Mitindo. No comments:. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Nifuate Instagram. Tu-Chat Hapa Marafiki. Blogu Marafiki. P Blog. Jamii Blog. Taasisi yetu ambayo ni walezi wa Shule ya Msingi Msinune tunaendelea na utaratibu wetu wa Arusha Publicity Media. Wazalendo 25 Blog. Linda Ikeji's Blog. Zinazo Bamba Zaidi. Kama una nywele asilia mtindo huu unakufaa hasa kama nywele zako ni ndefu. Zamani nywele hizi zilisukwa Mitindo 40 ya Vitenge Itakayo endelea kushika chati Mwaka African Print Jacket,Unaweza kuvaa wakati wa baridi,Jacket kama hili unaweza kulivaa na kuachia vifungo wazi bila kufunga na u Mitindo 25 ya Magauni Mafupi ya Vitenge. Mwanamke kitenge,ni ukweli usiojificha kuwa vazi la kitenge halitotoka katika fashion. Unaweza kushona gauni fupi kama hili na uk Mishono mipya ya sendoff Agosti Binti unayeagwa ni vema basi kuwa angala na mavazi ya kanisani, wakati wa kupiga picha,nyumbani, na vazi la kuvaa ukumbini kama una uwezo wa Mitindo mipya ya nguo za vitenge Kitenge ni vazi ambalo halichuji,wabunifu wamekuwa wengi na kila siku inaibuka mitindo mipya ambayo MTU anaweza kupata vazi La mandhari yoyo African kids Fashion Mishono mikali ya skirt za Vitenge iliyobamba Mwaka Maxi skirt katika muonekano wa kitenge ni mshono ambayo Mwaka hauja mtupa mwanamke ,kutoka na uwezo wa kumpendeza kila mtu Muonekano wa suti za kike Suti yenye kifungo kimoja,mtindo wa suruali kama unavyouona haijafika mwenye ankle. Muonekano huu pia ni mzuri.

MISHONO MIPYA YA VITENGE 2020 HII SI YA KUKOSA.Comments on “Fashion nguo za kushona

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may use these HTML tags and attributes:

<a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>