Fangasi ya ngozi

Для ботов

Maradhi ya zinaa

Post a Comment. Pages Home. Wednesday, November 30, Tunapozungumzia maradhi ya fangasi wengi wetu hatujisikii vizuri kabisa yaani kwa kifupi hili somo siyo kipenzi cha watu wengi. Hii inatokana na jinsi maradhi haya yanavyojionesha. Mara nyingi hutokea kwenye sehemu ambazo ni aibu kuzizungumzia au kuzionesha. Bahati nzuri ni kuwa wala hatutakiwi tuone aibu kuzungumzia magonjwa haya kwani wengi wetu wanapata maradhi haya na yanahitaji matibabu. Inasemekana Mtanzania mmoja kati ya watano hupata maradhi ya fangasi zaidi ya mara moja katika kipindi cha maisha yao. Aina hii ya fangasi hushambulia vidole vya miguu peke yake na mara nyingi hushambulia maeneo ya katikati ya vidole vya miguu hasa kati ya kidole cha tatu na nne na kile kidogo, tunachokihesabu ni cha tano. Fangasi hawa husababisha eneo la ngozi lililoshambuliwa kuwasha, ngozi kutoka na kubadilika kwa rangi ya ngozi na kuwa nyeupe. Mara nyingine huweza kusababisha malengemalenge kutokea pia. Fangasi za miguu hushambulia ngozi iliyo na majimaji hivyo ni rahisi zaidi kupata mashambulizi kama ngozi ya miguu inakosa ukavu. Mifano michache ya mambo ambayo husababisha ngozi isikauke ni kama vile kuvaa viatu vya kufunika muda mrefu na kuruhusu jasho kutoka kwenye miguu bila miguu hiyo kukauka. Namna nyingine ni kuvaa viatu vya kujifunika mara tu baada ya kujimwagia maji miguu bila ya kuikausha. Wengine ni watu wenye tatizo la kutoka jasho kwa wingi mwilini, kufanya kazi katika mazingira yanayolazimisha miguu kuwa kwenye kwa muda mrefu na wanaooga kwenye bafu zinazotumiwa na watu wengi kama vile shule za bweni na kambi. Tatizo jingine ni wale wanaotembea pekupeku kwenye ardhi iliyoloana au yenye maji kwa muda mrefu na wale wanaoshirikiana kuvaa viatu au soksi. Haya ni makundi machache ya wale wanaoweza kupata maambukizi ya maradhi haya. Kuna wengine ambao hatuwezi kuwaweka kwenye kundi na hii inatokana na ukweli kuwa maradhi haya huweza kuambukizwa kirahisi. Mara nyingi maradhi haya hutambulika kwa macho. Kwa eneo ambapo maradhi haya yameshambulia na mwonekano wa ngozi unaweza kutambua ni tatizo la fangasi. Matibabu ya maradhi haya ni rahisi. Kinachohitajika ni ukavu wa eneo husika na baada ya hapo ni uwekaji wa dawa ambazo zinapatikana kwa wingi kwenye maduka ya dawa. Email This BlogThis! Newer Post Older Post Home.

HABBAT SODA: MAFUTA YANAYOTIBU MAGONJWA 89


Fangasi wapo kila mahali, kwenye miti, mimea, mchanga, ndani majumbani mwetu na hata kwenye ngozi ya binadamu. Aina nyingi ya fangasi hawasababishi madhara yoyote kwa binadamu isipokuwa wachache tu. Kuna aina milioni moja na nusu za wadudu aina ya fangasi wanaotambulika duniani, kati yao ni fangasi tu wanaojulikana kusababisha maambukizi kwa binadamu. Husababishwa na fangasi aina ya Sporothrix schenckii. Fangasi hawa hupatikana kwenye mimea, miti, nyasi na kwenye maua aina ya waridi. Maambukizi yanayotokea kwenye mikono na miguu ingawa kwa watoto huonekana sana sehemu za usoni. Pia huweza kusambaa kwenye damu kwa watu wenye upungufu wa kinga mwilini. Faida 17 za Kiafya za Kufanya Mapenzi Salama. Fangasi aina hii hujulikana kama Dermatophytes. Fangasi hawa hushambulia sehemu tajwa hapo juu kwa kutoa vimengenyo Extracellular enzymes vinavyolainisha protini aina ya keratin inayopatikana katika maeneo hayo. Maambukizi haya ya fangasi yamegawanyika katika Tinea Corporis - Maambukizi ya fangasi yanayopatikana katika sehemu yoyote ile mwilini. Maambukizi haya hayaonekani kwenye uso ila husababisha ngozi kuwa na mabaka yenye rangi ya kahawia iliyochanganyika na rangi nyekundu reddish brown. Tinea vesicolor huonekana sana kwenye ngozi ya watu wanaoishi sehemu zenye joto kali au wenye matatizo kwenye vichocheo vya miili yao hormonal abnormalities ingawa wote wanaopata maambukizi haya huwa ni watu wenye afya njema. Subcutaneous Mycoses - Maambukizi ya fangasi kwenye tishu chini ya ngozi zinazojulikana kama dermis, subcutaneous tissue, fascia na kwenye misuli. Fangasi wanaosababisha maambukizi haya hupatikana kwenye mchanga na mimea. Maambukizi haya sugu hutokea pale mtu anapokuwa na kidonda na hivyo kurahisisha fangasi kuvamia mwili. Soma zaidi.

Ni ipi dawa asili ya kutibu fangasi ukeni (vaginal candidiasis)


Post a Comment. Mzizi Mkavu. Home Mawasiliano. LEO tuangalie fangasi wanaoshambulia sehemu za siri, yaani Tinea cruris. Aina hii ya fangasi ndiyo inayofahamika na Watanzania wengi zaidi ya aina nyinginezo na waathirika huwashwa sana sehemu za siri. Dalili zake. Kuna dalili nyingi sana za ugonjwa huu lakini kubwa kuliko zote ni kuwa fangasi hawa huambatana na muwasho mkali wa eneo lenye maambukizi hasa sehemu za siri, rangi ya ngozi ya eneo lenye maambukizi hubadilika na kuwa na muundo wa duara, mfano wa sarafu. Dalili nyingine ni ngozi kukauka kisha kubanduka, na kama mgonjwa asipopata tiba mapema basi atatokwa na majimaji kwenye eneo la ngozi lililoathirika pamoja na kutoka kwa harufu mbaya kwenye eneo hilo. Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Mada Maarufu. Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali d Tatizo la uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi. Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na Kwa wale ambao tuna nywele asilia a. Kwa wale mnaofikiria kuanza Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengene Kuhusu Mzizi Mkavu Blog yenye kukupa ushauri wa matibabu ya magonjwa mbalimbali kwa kutumia dawa za kisunna kwa uwezo wa Mungu. Mzizimkavu Blog managed by Fadhili Ngalawa.

Dawa ya fangasi, mba, chunusi, upele na ngozi kavu


Post a Comment. Je, ni vipi mba hushambulia ngozi? Maeneo yenye mabaka yanayoletwa na fangasi wa aina hii hubadilika rangi yake na kuwa na rangi hafifu au inayoonekana zaidi kama ni mtu mwenye rangi ya maji ya kunde basi ngozi iliyoathiriwa hubadilika na kuwa nyeupe au nyeusi sana. Hali hii hutokana na uwezo wa fangasi wa aina hii kusimamisha shughuli za uzalishaji wa homoni na kemikali inayoipa ngozi rangi yake. Hii husababisha upungufu wa kemikali na hivyo mabadiliko ya rangi ya ngozi. Upungufu huo ya rangi ya ngozi si wa kudumu, bali ngozi hurudi kwenye hali ya kawaida ya rangi yake baada ya muda mrefu kidogo tangu maradhi halisi yalipokomeshwa. Bila matibabu maradhi haya huchukua muda kupona hivyo dawa ni muhimu ili mwenye maradhi aweze kupona upesi. Namna ya kuyatambua. Sehemu ya ngozi kutoka kwenye eneo lenye maambukizi huchukuliwa na kupelekwa maabara ambako sehemu hii ya ngozi huwekwa kwenye darubini maalum kwa ajili ya kuangalia vimelea hivi vya fangasi. Nini matibabu yake? Maradhi haya huweza kutibika kirahisi, ila mara nyingi hurudia kushambulia ngozi hasa eneo ambalo liliwahi kushambuliwa kabla. Kutokana na uwezo wake wa kurudia kuambukiza ngozi huwa inashauriwa kwa aliyewahi kupata maradhi haya kurudia kutumia dawa ya kuua vimelea vya fangasi mara kwa mara ili kuondoa uwezekano wowote wa maradhi kurudia kushambulia. Matibabu ya maradhi haya huhusisha dawa za kupaka zinazoua vimelea hivi vya fangasi. Dawa za kuua vimelea vya fangasi za kunywa pia hutolewa kwa ajili ya kutibu aina hii ya fangasi lakini hushauriwa zitolewe tu kama dawa za kupaka zimeshindwa kuua vimelea hivi vya fangasi. Maradhi yanayofana nayo:. Kuna magonjwa ambayo hufanana na maradhi haya. Mfano. Maradhi haya tutayazungumzia kwenye makala zijazo kwenye mtiririko huu. Matokeo baada ya matibabu. Kama nilivyoandika hapo juu maeneo ya ngozi yaliyobadilika rangi huweza kubaki hivyo hata baada ya vimelea vya fangasi kuondolewa na dawa. Hii inamaanisha inawezekana kabisa mgonjwa akabaki na mabaka yanayotokana na vimelea hivi vya fangasi muda mrefu hata baada ya kutumia dawa ambayo imefanikiwa kuondoa vimelea hivi vya fangasi. Hali hii mara nyingi huchanganya wagonjwa na kusababisha wagonjwa kudhani kuwa maradhi bado upo hivyo kuendelea kutumia dawa au kuanza kutumia dawa baada ya muda mfupi tangu kumaliza kutumia dawa zilizofanikisha uondoaji wa vimelea. Hali ya sehemu ya ngozi iliyoathiriwa na vimelea vya fangasi kurudisha rangi ya kawaida ya ngozi kama sehemu nyingine ambazo hazikua na madhara huchukua muda mrefu kidogo ingawa kama eneo husika lilikua na uvimbe basi uvimbe hupotea haraka. Labels: magonjwa mbalimbali. No comments:. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom.

Post a Comment. TIGO 4G. Tembelea Tabibu wa kweli hapa Kila siku kufahamu magonjwa mbalimbali ya binadamu,vipimo vya kitabibu na ushauri wa kitaalamu. Katika makala yetu Leo hii tunaangalia maradhi ya fangasi yanayoshambulia kichwa au mapunye ambayo kitaalam huitwa Tinea capitis. Aina hii ya maradhi ya fangasi hushambulia eneo la kichwa pekee ukiacha eneo la uso. Kwa maneno mengine, aina hii ya fangasi haishambulii uso bali hushambulia eneo lililobaki la kichwa. Huwashambulia kina nani? Haya hushambulia watu wote wa jinsia na umri wote, ingawa huonekana zaidi kwa watoto wadogo. Fangasi hawa hushambulia watoto wadogo ambao hawajafikia umri wa balehe na mara nyingi huacha kushambulia pale mtoto anapofikia umri huo wa balehe. Mwonekano wake. Mapunye huweza kushambulia eneo lote la kichwa au sehemu tu ya kichwa. Eneo la ngozi ambalo lina mashambulizi ya mapunye huwa na umbo linalofanana na sarafu. Eneo hili la ngozi lililoathirika kama lina nywele, basi hunyonyoka na hivyo mwonekano wa mfano wa sarafu huonekana vizuri tu hata bila kutumia jicho la kitaalam. Labels: AFYA. No comments:. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom.

Aina 2 za Fangasi WanaokusumbuaComments on “Fangasi ya ngozi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may use these HTML tags and attributes:

<a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>