Fangasi ya ngozi

Ni ipi dawa asili ya kutibu fangasi ukeni (vaginal candidiasis)

Kama hujawahi kuisikia hii dawa kongwe ya mafuta ya mbegu za mwarobaini, basi ni wakati muafaka sasa upate kufahamu habari zake hasa kwa matatizo ya ngozi. Unasadikika kutibu magonjwa mbalimbali 40 hasa majani yake, huku mbegu zake ndiyo hutumika kutengeneza mafuta ambayo ni dawa kwa matatizo mbalimbali ya ngozi. Ni kiungo mhimu kwenye bidhaa nyingi kama losheni, dawa za kuulia wadudu, sherehe za kidini na mengine mengi. Taarifa zisizo rasmi zinasema majani ya mti huu ukiyachemsha katika maji na kuyaoga mara kwa mara husaidia kuondoa mikosi na nuksi mbalimbali. Mwarobaini una viinilishe mhimu kwa ajili ya mwili zaidi ya na una uwezo mkubwa wa kutibu maradhi zaidi ya Hujulikana pia kama mti wa uzima. Kama unasumbuliwa na fangasi kwenye ngozi, vipele, chunusi na matatizo mengine kwenye ngozi usitafute dawa nyingine zaidi ya mafuta ya mbegu za mwarobani. Mafuta ya mbegu za mwarobaini yanatibu fangasi, mba, chunusi na ukurutu wa aina yoyote na matatizo karibu yote ya ngozi. Mafuta ya mwarobaini ni kitu kinachoongezwa karibu katika shampoo zote unazozifahamu. Kupakaa mafuta ya mwarobaini kichwani husaidia kuondoa mba sababu ni dawaa dhidi ya bakteria na fangasi wanaoleta mba. Mafuta haya pia yanasaidia kuweka sawa usawa wa pH katika ngozi ya kichwa usawa ambao ni mhimu katika kudhibti mba. Ni kweli usiopingika kuwa kwa kupakaa mafuta ya mbegu za mwarobaini ni jambo zuri zaidi kwa kutibu chunusi kuliko kutumia losheni na vipodozi vingine vya kizungu ambavyo huweza kuwa na madhara mabaya kwa ngozi ya mtumiaji. Mafuta ya mbegu za mwarobaini yanawazuia bakteria wanaoleta chunusi wakati huo huo yanasaidia kuondoa madoa na vivimbe kwenye ngozi. Vitamini E iliyomo kwenye mafuta haya husaidia kutibu na kuripea ngozi iliyodhurika na miale ya jua huku ikiondoa chunusi na makovu yatokanayo na chunusi. Watu wengi hawajisikii vizuri unapokuja wakati wa kuzungumza juu ya fangasi kutokana na namna ugonjwa wenyewe unavyochukuliwa na jamii. Hii inatokea sababu mara nyingi ugonjwa huu hutokea sehemu ambazo ni aibu kuzizungumzia au kuzionyesha hadharani. Fangasi mara nyingi inawapata zaidi watu wanaoishi kwenye maeneno ya joto kuliko wale wanaoishi maeneno ya baridi kutokana na vimelea vya ugonjwa wenyewe kushamiri zaidi sehemu za joto. Pamoja na hayo yote fangasi ni ugonjwa wa kawaida ambao unaweza kumpata mtu yeyote, mimi mwenyewe nimewahi kupatwa na fangasi sehemu za siri na zilinisumbuwa sana. Takwimu zinadai katika kila watu watano mmoja kati yao anapatwa na maradhi haya katika safari yake ya kuishi kwa hapa Tanzania. Hapo awali fangasi walikuwa wanahesabika kama ni aina mojawapo ya mimea lakini baadaye sayansi imekuja kugunduwa kuwa fangasi hawana sifa za kuwekwa katika kundi la mimea. Kuna fangasi wa aina nyingi lakini tunaweza kuwaweka kwenye makundi makubwa mawili ambao ni fangasi wanaoleta madhara ya kwenye ngozi na fangasi ambao maisha yao yote wanaishi kwenye ngozi wakiitegemea hiyo tu ili waweze kuishi. Vimelea hivi vya fangasi vinavyokaa kwenye ngozi vimegawanyika tena katika sehemu kuu mbili, kundi la kwanza ni wale wanaojulikana kwa kitaalamu kama dermatophytes au dematofaiti kwa kiswahili na hamira au yeast kwa kiingereza. Kwahiyo kama ulikuwa hufahamu, basi leo fahamu kuwa hamira yaani hamira ile inayotumika wakati wa kupika maandazi na hata mikate ni fangasi. Fangasi huishi kwenye ngozi kwakuwa hutegemea protini inayopatikana kwenye ngozi ambayo huitwa keratini keratin. Keratini ni protini ya muhimu sana katika ngozi na inatengeneza asilimia kubwa ya ngozi, kucha na nywele ambako kama umeshagundua mpaka sasa ni sehemu ambazo fangasi hupenda sana kushambulia kuliko sehemu nyingine za mwili. Kwahiyo utagundua kuwa sababu kubwa ya waTanzania wengi kuugua fangasi ni hii protini ya kwenye ngozi ijulikanayo kama keratini, joto na uwepo wa hali ya unyevu unyevu katika maeneno mengi hasa ukanda wa pwani. Kwa hali ya kawaida, fangasi wa aina hii huwa hawana madhara makubwa, wao huweka makazi yao tu kwenye ngozi bila kusababisha hali yoyote ya madhara kwenye ngozi. Madhara ya vimelea hivi huonekana baada ya idadi kubwa ya vimelea hivi kuongezeka kwenye eneo dogo moja la ngozi. Fangasi ni ugonjwa unaoambukiza kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine ikiwa watu hao watashirikiana mavazi na vifaa vingine vya usafi wa mwili. Vimelea vya fangasi huathiri ngozi moja kwa moja kwa kuvamia na kutafuna keratini ambayo ni protini muhimu ya ngozi ikiwa inatengeneza sehemu kubwa ya ngozi, kucha na nywele. Mafuta ya mbegu za mwarobaini ni dawa yenye nguvu ya kutibu fangasi ya kwenye ngozi, fangasi ya kwenye kucha na fangasi ya kwenye miguu. Tafiti zimethibitisha kwa kufanya mafuta ya mbegu za mwarobaini kuwa ndiyo mafuta yako ya kupakaa kila siku utakuwa una kinga ya kutosha dhidi ya fangasi wa aina yoyote. Fangasi na miwasho yoyote sehemu yoyote ya mwili itaacha yenyewe bila kupenda mara tu uanzapo kupakaa mafuta haya. Ikiwa kwa upande wako fangasi wanakutokea kama matokeo ya kinga ya mwili kushuka basi tuwasiliane uweze kupata mafuta ya mwarobaini sambamba na dawa ya kuimarisha kinga yako ya mwili na kudhibiti pia fangasi ya kwenye damu. Ngozi ikipigwa na miale ya jua kwa miaka mingi inaweza kudhurika na kukupelekea kuonekana una umri mkubwa au mzee wakati wewe bado ni kijana. Miale ya jua inaweza kupenyeza kwenye ngozi na kuharibu muonekano wake hivyo uonekane kama wewe ni mtu mzima sana kumbe bado ni kijana. Siyo hayo tu, miale ya mwanga wa jua hurundika pia juu ya ngozi yako vijidudu nyemelezi ambavyo mwisho wa siku vinaweza kukuletea saratani ya ngozi. Hata kama unavaa nguo kufunika mwili wote, unapakaa losheni maalumu kuzuia jua lisipige moja kwa moja kwenye ngozi yako au unavaa miwani maalumu kuzuia hii miale ya jua, bado hivyo vyote havilizuii jua kujipenyeza kwenye ngozi yako na kuleta madhara. Mafuta ya mbegu za mwarobaini yana kinga ya asili dhidi ya saratani ya ngozi, yanapunguza makali ya miale ya jua kudhuru ngozi yako huku yakizuia aleji yoyote ya ngozi. Wanasayansi katika chuo hiki walihitimisha kuwa vitamini E iliyomo kwenye mafuta ya mbegu za mwarobaini inafanya kazi kama muondoa vijidudu nyemelezi kwenye ngozi, inahamasisha uundwaji wa ngozi laini, husaidia kuondoa makovu ya zamani na kuhamasisha uponyaji wa ngozi kwa madhara yoyote iliyonayo.

HABBAT SODA: MAFUTA YANAYOTIBU MAGONJWA 89


Mamilioni ya watu kwa sasa wanapambana na kiumbe mwenye seli moja asiyeonekana, ambaye ni fangasi anayeitwa Candida. Matokeo yake ni mfululizo wa maambukizi na kuumwa kwa mwili. Bahati mbaya ni kwamba taarifa nyingi za mtandaoni zimekuwa zikipotosha pasipo kueleza kwa ufasaha juu ya tatizo hili na hivo kufanya uelewaji wa tatzo kuwa mgumu. Ni muhimu kuelewa kwamba kukua kupita kasi kwa Candida siyo kwasababu Candida wanapatikana kwenye eneo husika, Hapana na ndio maana tatizo linakuwa gumu kutibika kutokanana na kwamba dawa nyingi huua Candida wote na kuua bacteria wazuri na hivo kuharibu msawazo wa mwili. Kumbuka uwepo wa Candida ni muhimu kwa ufanisi wa mwili. Maambukizi ya fangasi ukeni yanaweza isiwe ugonjwa hatari pale unapanza, lakini, huleta usumbufu na harufu kali na hivo mgonjwa kukosa amani. Wanawake wapo katika hatari kubwa zaidi ya kuugua fangasi za sehemu za siri ukilinganisha na wanaume, lakini pia hata wanaume huambukizwa tatizo hili. Pamoja na hayo matibabu ya ugonjwa huu hospital sio ya uhakika kwasababu dawa za hospital hazitibu chanzo cha tatizo hivyo ndio maana tatzo hili huwa Linajirudia baada ya muda fulani, pia ugonjwa huu unaweza kujikinga nao kwa kuepuka mambo mbalimbali na kuzingatia kanuni ya afya na usafi. Kwa mwanamke mwenye changamoto ya fangasu sugutunashauri atumie Uterus cleansing pill kusafisha kizazi ili kuondoa maambukizi haya. Uterus cleansing pill UCP ni vidonge 3 vilivyotengenezwa kitaalamu kwa kuzingatia uasili wa dawa kutatua changamoto za wanawake kama kupata harufu mbaya ukeni, maambukizi ya fangasi na bacteria, PID na kuziba kwa mirija ya uzazi. Vidonge vya Uterus cleansing vinatumika kwa siku Kidonge kimoja kinawekwa ukeni na kutolewa baada ya siku 3, kisha unapumzika siku 2,unaweka tena kidonge kingine. Havitumiki kwa wajawazito, bikira na kipindi cha hedhi. You must be logged in to post a comment. Skip to content Mamilioni ya watu kwa sasa wanapambana na kiumbe mwenye seli moja asiyeonekana, ambaye ni fangasi anayeitwa Candida. Fangasi Ukeni Husababishwa Na Nini? Kumbuka uwepo wa Candida ni muhimu kwa ufanisi wa mwili, Fangasi Ukeni Vaginal Candidiasis Maambukizi ya fangasi ukeni yanaweza isiwe ugonjwa hatari pale unapanza, lakini, huleta usumbufu na harufu kali na hivo mgonjwa kukosa amani. Kiwango kikubwa cha homoni za uzazi. Matumizi ya vidonge vya majira Msongo wa mawazo uliokithiri ; Kujamiana kwa njia ya kawaida Mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa anal sex Matumizi ya vilainishi wakati wa kujamiiana husababisha maambukizi pia Kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni hormonal replacement therapy kuwa na utapiamlo malnutritionkuvaa nguo za ndani zisizo kauka vizuri na kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehemu za siri. Kupata vidonda ukeni soreness.

Maradhi ya zinaa


Fangasi ya kucha,hujulikana kama onychomycosis ni tatizo sugu linalowakumba wanawake hata wanaume pia. Kama fangasi ya kucha haitachukuliwa tahadhari mara kwa mara huweza kusababisha kukatika kwa kucha,splitting,na hata kuimaliza kucha na kutoka kabisa. Kuna njia za kufanya zinatibu fangasi kwa mwezi au miezi miwili. Njia kuu 10 za kutibu fangasi ya kucha. Tea tree oil Tea tree oil ina antiseptic kama zilokuwemo kwenye fungicide ambayo husaidia sana katika kutibu aina hii ya fangasi. Haya mafuta hutumika kutibu athari katika ngozi pia. Kama unatatizo la aina hii ya fangasi ,chukua tea tree oil yenyewe tumia pamba pangusia mafuta hayo katika sehemu ilo athirika acha kwa dakika 10 kisha mswaki kwa kusugulia kwenye hiyo sehemu yenye fangasi. Kabla ya kupakaa mafuta hayo kwenye ngozi,yachanganye na olive oil sawa na kiasi cha tea tree oil au tumia thyme oil. Hutibu fangasi kama sio ya muda mrefu au iliokomaa,au sugu. Baking soda Baking soda ni rahisi kupatikana nyumbani hutibu fangasi pia. Lowesha sehemu ilioathirika na vinegar kwa dakika chache kisha pakaa ule mchanganyiko kwenye hiyo sehemu tumia pamba na kisha ifunge hiyo pamba kwenye hiyo sehemu iloathirika kwa fangasi. Tumia njia hii kila baada ya saa 10 kwa muda wa wiki nne. Mafuta ya machungwa Njia nyingine ni kutumia mafuta ya machungwa. Aina zote za machungwa ni antifungal nayo huweza kutibu fungasi. Kwa kudondoshea kitone cha mafuta hayo kila siku katika hapo penye fangasi,juu,chini na katikati ya kucha na iache kwa saa moja. Pia unaweza ukaichanganya hayo mafuta ya machungwa sawa na mafuta mengine yoyote ,kama mafuta ya mbegu za zabibu. Kama mafuta ya machungwa yataleta allergy na kusababisha madhara,ni vizuri kujaribisha kwenye ngozi kwanza kabla ya kuyatumia kwa kujitibu 4. White vinegar White vinegar ni moja wapo ya tiba nzuri ya fangasi ya kucha. Changanya kama kijiko kimoja cha vinegar na vijiko viwili vya maji ya vuguvugu. Kisha lowesha sehemu iloathirika na mchanganyiko huo kwa dakika kumi hadi kumi na tano kila siku. Kama utahisi ngozi inaungua zidisha maji kidogo kwa vinegar. Ni muhimu kukausha eneo la fangasi baada ya kunawa au kuoga,la sivyo fangasi itaenea na kuambukiza kwengine. Kitunguu thoum Kitunguu thoum kina allicin,ambayo ina antifungal na hutibu fangasi pia. Kwa kutibu mara ya kwanza tumia mafuta ya kitunguu thoum changanya sawa na vinegar namaanisha kipimo cha vinegar na mafuta viwe sawa. Ikiwa mafuta ya thoum hayapatikani,tengeneza mwenyewe kwa kuisaga,chukua vitunguu thoum viwili kisha changanya na vijiko viwili vya kula vya olive oil. Hata kula kitunguu thoum kimoja kila siku nayo ni dawa ya fangasi pia. Juisi ya siki ya apple Juisi ya siki ya apple ina acid ya asili na huweza kulinda na fangasi ya kucha kuendelea. Chukua juisi ya siki ya apple changanya sawa kwa sawa na maji kwa kipimo chochote utachotumia. Kisha utaitumia kwa kuloweshea sehemu ya fangasi kila siku kwa muda wa nusu saa. Kama utafanya hivi kwa muda wa wiki kadhaa utaona mabadiliko kwa muda mfupi tu. Njia nyingine unga wa ground rice changanya na vijiko vichache vya juisi ya siki ya apple,pakaa na husaidia kuondoa ngozi iliokufa na kuiweka ngozi yako kuwa laini. Listerine Mouth Wash Listerine mouth wash inaua bacteria na germs mdomoni huweza kutibu fangasi ya kucha pia. Hii ni kwa sababu mouth wash hii ina alcohol yenye nguvu nyingi za antiseptic huweza kupambana na bacteria na fangasi pia. Chukua pamba lowesha hii mouth wash na vinegar na maji ya ndimu ambayo hayajachanganywa na maji. Kisha unaweza loweka miguu au mguu au ukapakaa mchanganyiko huo kwa dakika kumi hadi kumi na tano kila siku na kisha tumia kwa kusugulia pia. Fanya hivyo kila siku mpaka ile kucha ya zamani itaondoka itakuja mpya na nzuri. Lavender Oil Lavender oil ina volatile na antiseptic properties ambayo ina uwezo wa kupambana na aina yoyote ya infection na kuilinda ngozi kuharibika pia.

Dawa ya fangasi, mba, chunusi, upele na ngozi kavu


Post a Comment. Mzizi Mkavu. Home Mawasiliano. LEO tuangalie fangasi wanaoshambulia sehemu za siri, yaani Tinea cruris. Aina hii ya fangasi ndiyo inayofahamika na Watanzania wengi zaidi ya aina nyinginezo na waathirika huwashwa sana sehemu za siri. Dalili zake. Kuna dalili nyingi sana za ugonjwa huu lakini kubwa kuliko zote ni kuwa fangasi hawa huambatana na muwasho mkali wa eneo lenye maambukizi hasa sehemu za siri, rangi ya ngozi ya eneo lenye maambukizi hubadilika na kuwa na muundo wa duara, mfano wa sarafu. Dalili nyingine ni ngozi kukauka kisha kubanduka, na kama mgonjwa asipopata tiba mapema basi atatokwa na majimaji kwenye eneo la ngozi lililoathirika pamoja na kutoka kwa harufu mbaya kwenye eneo hilo. Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Mada Maarufu. Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali d Tatizo la uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi. Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na Kwa wale ambao tuna nywele asilia a. Kwa wale mnaofikiria kuanza Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengene Kuhusu Mzizi Mkavu Blog yenye kukupa ushauri wa matibabu ya magonjwa mbalimbali kwa kutumia dawa za kisunna kwa uwezo wa Mungu. Mzizimkavu Blog managed by Fadhili Ngalawa.

Post a Comment. Pages Home. Wednesday, November 30, Tunapozungumzia maradhi ya fangasi wengi wetu hatujisikii vizuri kabisa yaani kwa kifupi hili somo siyo kipenzi cha watu wengi. Hii inatokana na jinsi maradhi haya yanavyojionesha. Mara nyingi hutokea kwenye sehemu ambazo ni aibu kuzizungumzia au kuzionesha. Bahati nzuri ni kuwa wala hatutakiwi tuone aibu kuzungumzia magonjwa haya kwani wengi wetu wanapata maradhi haya na yanahitaji matibabu. Inasemekana Mtanzania mmoja kati ya watano hupata maradhi ya fangasi zaidi ya mara moja katika kipindi cha maisha yao. Aina hii ya fangasi hushambulia vidole vya miguu peke yake na mara nyingi hushambulia maeneo ya katikati ya vidole vya miguu hasa kati ya kidole cha tatu na nne na kile kidogo, tunachokihesabu ni cha tano. Fangasi hawa husababisha eneo la ngozi lililoshambuliwa kuwasha, ngozi kutoka na kubadilika kwa rangi ya ngozi na kuwa nyeupe. Mara nyingine huweza kusababisha malengemalenge kutokea pia. Fangasi za miguu hushambulia ngozi iliyo na majimaji hivyo ni rahisi zaidi kupata mashambulizi kama ngozi ya miguu inakosa ukavu. Mifano michache ya mambo ambayo husababisha ngozi isikauke ni kama vile kuvaa viatu vya kufunika muda mrefu na kuruhusu jasho kutoka kwenye miguu bila miguu hiyo kukauka. Namna nyingine ni kuvaa viatu vya kujifunika mara tu baada ya kujimwagia maji miguu bila ya kuikausha. Wengine ni watu wenye tatizo la kutoka jasho kwa wingi mwilini, kufanya kazi katika mazingira yanayolazimisha miguu kuwa kwenye kwa muda mrefu na wanaooga kwenye bafu zinazotumiwa na watu wengi kama vile shule za bweni na kambi. Tatizo jingine ni wale wanaotembea pekupeku kwenye ardhi iliyoloana au yenye maji kwa muda mrefu na wale wanaoshirikiana kuvaa viatu au soksi. Haya ni makundi machache ya wale wanaoweza kupata maambukizi ya maradhi haya. Kuna wengine ambao hatuwezi kuwaweka kwenye kundi na hii inatokana na ukweli kuwa maradhi haya huweza kuambukizwa kirahisi. Mara nyingi maradhi haya hutambulika kwa macho. Kwa eneo ambapo maradhi haya yameshambulia na mwonekano wa ngozi unaweza kutambua ni tatizo la fangasi. Matibabu ya maradhi haya ni rahisi. Kinachohitajika ni ukavu wa eneo husika na baada ya hapo ni uwekaji wa dawa ambazo zinapatikana kwa wingi kwenye maduka ya dawa. Email This BlogThis! Newer Post Older Post Home. No comments:. Subscribe to: Post Comments Atom. Popular Posts. W atu wengi wanaugua magonjwa ya tumbo lakini ni wachache wanaofahamu kuhusu ugonjwa wa amoeba unaosababishwa na uchafu wa mazingir Wengine hubadili meno yaliyotoboka na kununua bandia il Mara nyingi ujauzito huambatana na changamoto mbalimbali, ikiwamo kuumwa mara kwa mara hasa kwa kina mama ambao wanaishi katika mazing

Fangasi kwa wanaume, tibu na kuzuia fangasi wanaokusumbuaComments on “Fangasi ya ngozi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may use these HTML tags and attributes:

<a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>